.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Novemba 2017

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA MULEBA NA KEMONDO WAKATI AKIELEKEA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mjini.
Wananchi wa Kemondo wakifurahia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kemondo wakati akielekea Bukoba mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu mara baada ya kuwasili mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwananchi Maarufu wa Muleba Hassan Milanga mara baada ya kuwasalimia wananchi wa Muleba.
Baadhi ya mabango wa Wananchi wa Kemondo mkoani Kagera wakiyanyanyua wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akipita katika eneo hilo. PICHA NA IKULU



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni