.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Novemba 2017

TUNAKUMBUSHANA #SIUCHOCHEZI ( KIPINDI CHA KWANZA )



Kipindi cha TUNAKUMBUSHANA #SiUchochezi ni kipindi kipya cha kila wiki kinacholenga kuibua na kuonyesha masuala mbalimbali katika jamii ambapo kitakuwa katika mfumo wa sauti, picha mnato pamoja na picha jongefu (video).

Kipindi hiki kimejikita kukosoa, kuonya na kusifia masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika jamii yakiwemo ya kiutendaji, kisiasa, kiuchumi pamoja na kijamii nchini Tanzania.

Kinaandaliwa na kurushwa na mitandao ya kijamii ya Binagi Media Group (www.bmghabari.com) pamoja na mitandao mingime rafiki kote nchini, lengo likiwa ni kuamsha ari ya kimaendeleo katika jamii.

Rai ni kwa wadau wote wapenda maendeleo kuungana na BMG katika kuhakikisha kipindi hiki ambacho kimeanza kuruka hewani kwa mara ya kwanza hii leo Novemba Mosi, 2017 kinaleta matokeo chanya katika jamii.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni