.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 3 Novemba 2017

WAZIRI MKUU AWASILI TOKEA NCHINI CANADA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea nchini Canada, Novemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea nchini Canada,Novemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni