.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 8 Novemba 2017

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Mkoa wa Geita, Upendo Peneza, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni