.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Novemba 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA MAADALIZI YA BUNGE KINACHO ANZA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wabunge kwa ajali ya maandalizi ya Mkutano wa Tisa wa Bunge la Kumi na Moja unaotarajiwa kuanza kesho Novemba 7/2017 Mjini Dodma. Mkutano huo umefanyika leo Novemba 6/2017 katika Ukumbi wa Msekwa Dododma.kushoto kwake ni Spika wa Bunge,Mheshimiwa Job Ndugai na kulia kwa Waziri Mkuu ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni