Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi akizungumza wakati wa uzinduzi huo kushoto ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe,John Nyarongo |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri akizungumza wakati wa uzinduzi huo |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe,John Nyarongo akizungumza katika uzinduzi huo |
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe katikati akipata maelekezo ya namna huduma za upimaji wa afya na uzito zilizokuwa zikitolewa mfuko huo wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani Korogwe katikati ni Meneja wa Mfuko huo mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe akiangalia huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya Kadi kulia ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Ally Mwakababu
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akiagana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe mji,Jumanne Shauri mara baada ya kuzinduzi mpango wa toto afya kadi kwenye viwanja vya shule ya msingi Mazoezi wilayani Korogwe kulia ni Meneja wa NHIF mkoani Tanga,Ally Mwakababu
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe katika kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Bwasi kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri na Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga,Ally Mwakababu
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufanya uzinduzi huo
Sehemu ya wananchi wa wilaya ya Korogwe wakisubiri kupata huduma mbalimbali za upimaji wakati wa uzinduzi huo wa mpango wa toto afya kadi
Sehemu ya wananchi wakisubiri huduma ya upimaji wakati wa uzinduzi huo
Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza kushoto akitoa huduma ya upimaji kwa wakazi wa mji wa Korogwe wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika viwanja vya Mazoezi
Zoezi la Upimaji likiendelea kwenye uzinduzi huo
Wananchi wakisubiri kupatiwa huduma ya upimaji kwenye banda la mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wilayani Korogwe wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya Kadi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni