Meza kuu katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akiangalia vikundi vilivyokuwa vikitoa burudani wakati wa uzinduzi huo kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe Mjini,Charles Emanuel na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa akiangalia taarifa mbalimbali kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa kampeni hizo Sehemu ya wana CCM na wananchi wa Kijiji cha Mkokola wakifuatilia uzinduzi huo aliyevaa shati katika ni Diwani wa Kata ya Majengo(CCM) Mustapha Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa kushoto akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wakati wa uzinduzi huo katika ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Korogwe mjini,Charles Emanuel Vikundi vya burudani vikiendelea kutoa burudaani wakati wa uzinduzi huo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa mbele akiwa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo Katibu wa CCM Korogwe mjini,Ally Issa akitunza kikundi cha maigizo katika uizunduzi huo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wa tatu kutoka kushoto akifuatilia matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi huo wa pili ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe mjini,Emanuel Charles na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi kushoto akicheza wimbo na Msanii Dkt Njau wakati wa uzunduzi wa kampeni hizo Msanii wa Singeli akitumbuiza katika kampeni hizo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu (MNEC) na Mjumbe wa baraza Kuu la wazazi Taifa akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa kumpa kura za kishindo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni