Jumanne, 12 Desemba 2017
MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Phillip Mangula wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni