KABLA YA MKUTANO
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa zanzibar Dk Ali Mohammed Shein alipowasili kwenye mkutano huo Dk Shein akimsalimia Mzee Mkapa
Dk Shein akimsalimia Mzee Karume. Katikati ni Kikwete
Dk Magufuli akiongozana na Dk Shein, Mzee Mangula na Ndugu Kinana kwenda ukumbini
Kabla ya mkutano kuanza, baadhi ya wajumbe wakiperuzi nakala za toleo maalum la gazeti la Uhuru kuhusu mkutano huo
Wajumbe wakipozi picha ya kumbukumbi ukumbiniKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa zanzibar Dk Ali Mohammed Shein alipowasili kwenye mkutano huo Dk Shein akimsalimia Mzee Mkapa
Dk Shein akimsalimia Mzee Karume. Katikati ni Kikwete
Dk Magufuli akiongozana na Dk Shein, Mzee Mangula na Ndugu Kinana kwenda ukumbini
Baadhi ya wafanyakazi waandamizi wa Uhuru Publications Ltd, wachapichaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani wakiwa ukumbini
Mwanadiplomasia akisoma gazeti la Uhuru
Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Bara John Chiligati akisoma toleo maalum la gazeti la Uhuru
Katibu Mwenezi wa CCM Humphrey Polepole akijadili jambo na Afisa Mwandamizi wa CCM Frank Uhahula. kulia ni Kanali Mstaafu Ngemela
Maofisa wa CCM wakiwa ukumbini kusimamia masuala ya Itifaki
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuf Makamba akisalimiana na Mzee John Butiku
Vijana Jazz wakirindima ukumbini
Baadhi ya watangazaji wa UHURU FM wakiwa nje ya ukumbi kurusha live matangazo ya mkutano huo mkuu
Baadhi ya wageni waalikwa wakisalimiana ukumbini
Mama Janet Magufuli akiwasili ukumbini
Wajumbe ukumbini
Wajumbe ukumbini
Wapigapicha Muhidin Issa Michuzi aka Ankal na Adam Mzee wakicheki mazingira ukumbini
Wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM, Lumumba wakiwa ukumbini
Wasanii wa TOT wakipumzika ukumbini baada ya awamu ya kwanza ya kutumbuiza kumalizika. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni