Mbunge wa Sengerema, Mh William Ngeleja akisindikizwa na Mratibu
wa Semina ya waandishi wa habari na watangazaji wa michezo na magazeti, Tom Chilala (katikati), semina hiyo ilihusu maadili ya taaluma hiyo na kudhaminiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akizungumza jijini Dar es Salaam jana, wakati wa semina ya waandishi wa Habari na watangazaji wa michezo na magazeti kuhusu maadili ya taaluma hiyo, kushoto ni Mratibu wa Semina hiyo, Tom Chilala.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni