.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Desemba 2017

MECHI YA BUNGE LA TANZANIA NA BUNGE LA BURUNDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Burundi muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Tanzania alipofungua mashindano ya mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo Desemba 4, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Burundi alipofungua mashindano ya mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo Desemba 4, 2017.

                                                                      PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni