Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibok akizungumza katika hafla
fupi ya kuagwa kwa wazelendo 47 waliopanda Mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya Washiriki katika
changamoto ya kupanda Kilimanjaro kwa ajili ya kutangaza Utalii wa
Ndani na utunzaji wa Mazingira.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla ya
kuwaaga washiriki wa changamoto ya upandaji wa Mlima Kilimanjaro kwa
ajili ya kutangaza Utalii wa ndani na Utunzaji wa Mazingira.
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii
Tanzania, Balozi Charles Sanga (kulia) alikuwa ni miongoni mwa
Wazalendo walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni