Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa na na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Januari Makamba wakicheza ngoma ya Mwinamila wakati wa Makaribisho ya Makamu wa Rais Mkoani Dodoma leo Desemba 15,2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za kumkaribisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan .Mkoani Dodoma leo Desemba 15,2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Balozi Job Lusinde akitoa salamu za shukurani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa Dodoma kwakuhamia Makamu wa Rais Mkoani Dodoma
Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika hafla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan .Mkoani Dodoma leo Desemba 15,2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUUViongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika hafla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan .Mkoani Dodoma leo Desemba 15,2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika hafla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan .Mkoani Dodoma leo Desemba 15,2017. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni