.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 28 Januari 2018

WAZIRI UMMY,MAKAMBA WASHUHUDIA MECHI BAINA YA COASTAL UNION NA POLISI DAR ZIKITOKA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano JanuaryMakamba akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano JanuaryMakamba kulia akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union Steven Mguto
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika akishiriki kwenye uhamasishaji wa nyimbo wakati timu ya Coastal Union ilipocheza na Polisi Dar kwenye mchezo uliomalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akitokea kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano JanuaryMakamba akizungumza na timu zote mbili kabla ya kuanza mchezo huo leo
Waachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo
Kikosi cha timu ya Coastal Union ambacho kimeanza dhidi ya Polisi dar leo
Kikosi cha timu ya Polisi Dar ambacho kimecheza dhidi ya Coastal Union leo
Mchezaji wa timu ya Coastal Union kushoto akiwani mpira dhidi ya wa Polisi Dar katika mchezo wa Ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.


Sehemu ya mashabiki wa soka mkoa wa Tanga wakifuatilia mchezo huo leo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni