.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Aprili 2018

KAMPUNI YA IVORI IRINGA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA TOSAMAGANGA

Huu ndio msaada ulitolewa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa kwa ajili ya kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga, nje kidogo ya manispaa ya Iringa kwa lengo la kuwapa faraja ya kusherekea sikuku ya pasaka wakiwa na furaha
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga wakiwafurahia kupewa zawadi ya pipi ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga wakiwafurahia kupewa zawadi ya pipi ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa
Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Iringa wakifurahi kutumia bidhaa bora kabisa kutoka kampuni ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa ambazo zipo kwenye ubora unaotakiwa walipokuwa wameenda kuwatembelea watoto wa kituo cha Watoto Yatima Tosamaganga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni