.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Aprili 2018

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama (kushoto) akiwa na mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto) , Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi (wapili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni