.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Aprili 2018

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza, bungeni Mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika akizungumza na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. Wengine pichani ni watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni