.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Aprili 2018

MAJALIWA ASALIMIANA NA ALIYEWAHI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA SASA KAACHA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Marine Mutongore ambaye awali alikuwa akitumia dawa za kulevya na sasa ameacha baada ya kupata matibabu na msaada katika Nyumba za Upataji Nafuu (Sober House). Kijana huyo ni mmoja wa wageni walioingia bungeni kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni