Mwenyekiti wa Afrika wa World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS), Zoe Rakotondratovo (kushoto0 na Mjumbe wa Bodi ya Udhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Zakia Meghji wakipia saluti salamu ya kiskauti baada ya Meghji kuvishwa beji na skafu wakati wa hafla iliyoandaliwa na TGGA kwa mwenyekiti huyo jana katika Makao Makuu ya TGGA, Upanga Dar es Salaam.
Rakotondratovo ambaye aliambatana na Meneja Mahusiano, Marie Rafenoarisoa alikuwa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo alitembelea Makao Makuu ya TGGA Upanga na miradi ya chama hiyo.
Rakotondratovo ambaye aliambatana na Meneja Mahusiano, Marie Rafenoarisoa alikuwa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo alitembelea Makao Makuu ya TGGA Upanga na miradi ya chama hiyo.
Ziara hiyo ilikuwa maalumu kwa ajili ya kuipongeza TGGA kwa kuwa wa kwanza Afrika kusajiri wanachama wengi wakifuatiwa na Kenya na Nigeria. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0715264202,0754264203
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symporosa Hangi (kushoto) na Kamishna wa Kimataifa wa TGGA, Miryam Mjema (kulia0 wakitoka kumpokea Mwenyekiti wa Afrika wa World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS), Zoe Rakotondratovo tayari kuingia kwenye hafla ya chakula cha usiku Makao Makuu ya TGGA, UpangaMeghji akimlaki Meneja Mahusiano wa WAGGGS Afrika, Marie RafenoarisoaKamishna Mkuu wa TGGA, Symporosa Hangi akitoa utambulisho wa baadhi ya waalikwa kwenye hafla hiyoKaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya TGGA, Grace Makenya akitambulishwa Kamishna wa Kimataifa wa TGGA, Miryam Mjema akitambulishwa
Marafiki wa TGGA wakitambulishwa Viongozi wa TGGA kutoka Mkoa wa Lindi wakitambulishwa Girl Guides wakitambulishwaWafanyakazi wa TGGA Makao Makuu, wakitambulishwaMsanii aliyekuwa akitumbuiza katika hafla hiyo akituzwa na Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi na Rafiki wa chama hicho Clara Makenya.(kulia)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni