Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiingia bungeni Mjini Dodoma Aprili 3, 2018 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni