Alhamisi, 5 Aprili 2018
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (katikati) bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Det. Harrison Mwakyembe kutoka bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya bange mjini Dodoma Aprili 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni