MELI KUBWA YENYE UWEZO WA KUBEBA MAKONTENA 4000 YATIA NANGA BANDARI YA DAR KWA MARA YA KWANZA
Meli yenye urefu wa mita 250 inayojulikana kwa jina la Maesk Line ikiwa imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika historia ya kuingia meli kubwa katika bandari hiyo ikiashiria ongezeko la mizigo na kipato kwa nchi yetu meli hiyo ilipokelewa na waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni