.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Oktoba 2013

TFDA YABAINI DAWA BANDIA KATIKA SOKO

Sehemu ya dawa zilizokamatwa katka Operesheni.

Mkurugenzi MKuu wa TFDA na DCI Manumba wakitazama sehemu ya dawa zilizokamatwa.

DCI Manumba akitoa matokeo ya Operesheni GIBOIA kwa waandishi wa habari.
Operesheni GIBOIA ilifanyika kuanzia tarehe 1 hadi 3 Oktoba, 2013 katika mikoa tisa ya Tanzania Bara ambayo ni Mwanza,  Shinyanga, Mara,  Geita,  Mbeya,  Arusha,  Kilimanjaro,  Dodoma  na Dar es Salaam. 

Operesheni hii pia imefanyika sanjari katika nchi saba zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo ni Afrika ya Kusini, Angola, Malawi, Msumbiji, Swaziland, Zambia na Tanzania kwa lengo la kupambana na dawa Bandia Barani Afrika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni