Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya
CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo.Kushoto ni
Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na kulia ni katibu Mkuu wa CCM
Bwana Abdulrahman Kinana(picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu
ya CCM, mjini Dodoma Desemba 13, 2013.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni