Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando
(kushoto) akimuongoza Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy
Cole (katikati) kuelekea sehemu ya VIP kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA)mara tu baada ya kuwasili nchini jana usiku.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni