.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 13 Desemba 2013

SHUGHULI ZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA NELSON MANDELA ZASITISHWA RASMI HII LEO

 Mamia ya waombolezaji wakiingia katika majengo ya umoja (Union Buildings ) kutoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wao Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini marehemu Nelson Mandela kabla ya shughuli hiyo kusimamishwa rasmi mchana wa leo
 Mwili wa Nelson Mandela ukiondolewa katika majengo ya Umoja ( Union Buildings ) kabla ya safari ya kuelekea kijijini kwake Qunu atakapozikwa kesho kutwa jumapili kuanza. Kushoto mwenye suti nyeusi ni mjukuu wa Mandela
                                  Wananchi wakitokwa na machozi
        Kila mmoja alishindwa kuvumilia baada ya kutoa heshima zake za mwisho
                        Hali niya huzuni kila kona nchini Afrika Kusini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni