Mshambuliaji mahiri na tegemezi wa Mashetani Wekundu Manchester United atakuwa nje ya uwanja kwa majuma manne kufuatia kuandamwa na majeruhi.
Mholanzi huyo mwenye kasi uwanja na magoli ya kipekee amepata majeraha ya mguu wakati timu yake ilipokuwa inapambana na timu ya Shaktar katika ligi ya mabingwa barani Ulaya, mchezo uliomalizika kwa Manchester United kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila ( 1 - 0 )

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni