.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 15 Desemba 2013

WATU 4 WAFA NA WENGINE 36 WAJERUHIWA NAIROBI BAADA YA SHAMBULIO LA BOMU

 Basi la abiria likiwa limeharibika vibaya baada ya kutupiwa bomu na watu wasiojulikana ambapo watu 4 walipoteza maisha na wengine 36 kujeruhiwa jijini Nairobi nchini Kenya
Hii ni moja ya kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyopo nchini Kenya ambayo ina wakimbizi wengi hasa kutoka Somalia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni