.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 29 Januari 2014

BALOZI KAMALA AMTEMBELEA MKUU WA ITIFAKI WA LUXEMBOURG

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea  zawadi Kutoka  kwa Mkuu wa Itifaki wa Serikali ya Luxembourg Balozi Sandra Thein. Balozi Kamala amemtembelea leo Balozi Sandra ofisini kwake Luxembourg.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni