Timu ya Chelsea
imekubali kukamilisha uhamisho wa paundi milioni 12, kumtwaa beki wa
St Etienne Kurt Zouma mwenye umri wa miaka 19.
Kocha wa Chelsea
Jose Mourinho anaamini kuwa mchezaji huyo raia wa Ufaransa ni
miongoni mwa wachezaji chipukizi barani Ulaya wenye kipaji cha juu.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni