Pichani kushoto, wabunge wa Bunge la Ukraine wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge, picha kulia ni waandamanaji.
Rais wa Ukraine Vicktor Yanukovych amekubali uamuzi wa Waziri wake Mkuu Mykola Azarov kujiuzulu katika kile alichosema Waziri huyo kuwa ni moja ya juhudi za kutuliza ghasia katika nchi hiyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni