Kamati hiyo inatafakari changamoto, muundo na majukumu mapya ya
ACP na mfumo mpya wa ushirikiano wa nchi za ACP, nchi za ACP na Jumuiya
ya Ulaya na nchi za ACP na wadau wengine wa maendeleo ifikapo mwaka
2020.
Mkataba wa Cotonou ulioweka mfumo wa ushirikiano wa nchi za ACP na
Jumuiya ya Ulaya utakoma ifikapo mwaka 2020.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni