Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mh Edward Lowassaakifuatilia kwa umakini mjadala wa Bunge hilo mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Ameir Kificho akisistiza jambo wakati wa kikao cha Bunge hilo kilichoendelea leo mjini Dodoma
Mh.Anne Makinda akichangia mapendekezo ya Rasimu ya Kananuni zitakazotumiwa na Bunge maalum la Katiba
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni