Mshambuliaji wa Chelsea Fernando Torres akifunga bao kunako dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza na kuifanya timu yake kuongoza dhidi ya wenyeji wao Galatasaray mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo
Mshambuliaji wa Galatasaray, Chedjou akifunga bao la kusawazisha dhidi ya Chelsea kunako dakika ya 64 na kufanya matokeo kuwa 1-1 hadi mwisho wa mchezo huo wa klabu bingwa barani Ulaya hatua ya 16 bora
Nahodha wa Chelsea John Terry akipewa kadi ya njanio na mwamuzi wa mchezo huo
Viti vyao vina raha sana kukalia, ngoja leo nijiachie kidogo nipunguze maneno maneno!! Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akifuatilia mtanange huo ulimalizika kwa timu hizo kufungana bao 1-1
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni