.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Februari 2014

LIGI YA MABINGWA ULAYA 16 BORA, SCHALKE YANYUKWA 6-1 NA REAL MADRID

 Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale akimfunga kiufundi mkubwa mlinda mlango wa Schalke katika mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya, mchezo uliomalizika kwa Madrid kuichapa Schalke mabao 6-1
 Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo akimchambua mlindamlango wa Schalke na kuifungia timu yake goli
 Karim Benzema wa Real Madrid akipenyeza mpira na kuandika bao mbele ya mabeki wa Schalke huku pia mlinda mlango akiruka bila mafanikio
Mashabibiki wa Schalke waliofurika uwanjani kuishangilia timu yao wakishuhudia kipigo cha mwaka toka kwa Real Madrid

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni