.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Februari 2014

POLISI YAZUIA MAANDAMANO YA KUPINGA SHERIA INAYOKATAZA VIMINI

Polisi nchini Uganda wamezuia maandamano ya wanawake waliokuwa wakiandamana katika Mitaa ya Jiji la Kampala kupinga sheria mpya inayowakataza wanawake kuvaa vimini.

Badala yake wanawake hao wapatao 200, ambao baadhi yao walikuwa wamevaa vimini, walikusanyika kwenye jengo la makumbusho ya taifa na kupaza sauti zao za kukerwa na sheria hiyo.

Kumekuwepo na matukio kadhaa katika wiki za hivi karibuni ya wanawake waliovaa sketi fupi kubughudhiwa mitaani na wanaume pamoja na kudhalilishwa tangu kusainiwa kwa sheria hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni