Mwanadada anayetamba katika vipindi vya Luninga Kim Kardashian "mke mtarajiwa wa Kanye West" akikatiza mtaani huko Los Angeles akiwa ametoka bomba kwa kuvaa nguo "sketi fupi" inayoendana na mwili wake na kiatu kirefu chenye rangi ya dhahabu.
Kim Kardashian anayetamba na kipindi chake cha luninga " Keeping Up With The Kardashians" anataraji kufunga ndoa na West May 24 mwaka huu nchini Ufaransa
Akifunguliwa mlango wa gari na msaidizi wake tayari kurejea nyumbani baada ya mizunguko yake


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni