Timu ya soka ya Arsenal imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya kuwania kombe la FA na kutinga nusu fainali baada ya kuisambaratisha Everton kwa mabao 4-1, mabao ambayo yamewekwa kimiani na Mesut Ozil, Olivier Giroud aliyetumbukiza mabao mawili kambani kwa mguu wake na Mikel Arteta aliyefunga vyema kwa mkaju wa peanati. Bao la kufutia machozi la Everton lilifungwa na Romelu Lukaku
Mtake msitake nawapita tu, Ozli akiwatoka mabeki wa Everton
Raha ya mpira ushindi, wachezaji wa Arsenal Giroud na Ozil wakishangilia



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni