
Polisi wamesema watu wanne wamekufa baada ya helkopta kuanguka kutokana na ukungu mzito Mashariki mwa Uingereza kwenye Kaunti ya Norfolk.
Polisi waliitwa kufika katika eneo la ajali katika mji wa Becceles baada ya watu kutoa taarifa ya kusikia kishindo kikubwa.
Maafisa wa polisi wamezingira eneo la tukio wakisaidiwa na helkopta za polisi katika eneo la ajali hiyo ambalo limeshabainika.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni