Mtu aliyesafiri na ndege ya shirika la ndege la Malaysia iliyokuwa na abiria 239 kwa kutumia hati bandia ya kusafiria iliyoibwa ametambuliwa kuwa ni kijana raia wa Iran mwenye umri wa miaka 19.
Kijana huyo Mohammah Mehrdad ( pichani juu ) polisi wamesema haielekei kama kijana huyo ana uhusiano na kikundi cha ugaidi.
Juhudi zaidi zimeongezwa kuitafuta ndege hiyo iliyokuwa na raia kutoka mataifa 14 iliyopotea toka ijumaa iliyopita
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni