.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Machi 2014

KIWANDA KINACHOUA MAELFU YA NYOKA KWA AJILI YA NGOZI HIKI HAPA

 Nguo, mabegi mikanda na bidhaa zingine za ngozi ya nyoka zimekuwa na soko kubwa mno katika nchi za Magharibi na kupelekea nyoka kuuwawa kwa wingi nchini Indonesia.

Hapa tunakuletea picha za moja ya kiwanda hicho cha ngozi ya nyoka katika kijiji cha Cirebon, nchini Indonesia ambapo watumishi huua maelfu ya nyoka kwa wiki.

Bei ya begi la ngozi ya nyoka linagharimu paundi 2,400 katika nchi za Magharibi wakati nchini Indonesia linagharimu paundi 20 tu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni