Mwanadada anayetamba katika luninga, Kim Kardashian amepata ajali ya barabarani Beverly Hills akiwa anaendesha gari lake la kifahari aina ya Mercedes G Wagon lenye thamani ya dola za kimarekani 100,000.
Katika ajali hiyo iliyohusisha gari lingine dogo, wote wawili walitoka salama bila kupata majeraha yeyote mwilini, na baada ya kuzungumza kidogo waliondoka eneo la tukio na kuelekea Beverl Hills Hotel kuzungumzia ajali hiyo, ambapo walielewana na kumaliza bila matatizo.
Gari liliogongana na gari la Kim Kardashian likiwa limeharibika sehemu ya kuweka namba
Kim Kardashian na dereva wa gari walilogongana ( nyuma yake ) wakiwasili Beverly Hills Hotel
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni