Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia
chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya
Magulilwa,Iringa vijijini.Jumamosi, 15 Machi 2014
KUELEKEA UCHAGUZI KESHO JIMBO LA KALENGA, KATIBU MKUU CCM KINANA AMNADI GODFREY MGIMWA KWA WANANCHI
Wananchi waliojazana katika mkutano huo wakishangilia baada ya kusikia sera za mgombea
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia
chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya
Magulilwa,Iringa vijijini.

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni