|
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi
(CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akitoa mapendekezo yake kuhusu taratibu za
upigaji kura unaoangalia maridhiano ya misingi ya kidemokrasia .Kulia
ni Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Prof. Mark Mwandosya na mbele
ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa.wakati wa Semina ya
Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.
(PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
|
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni