Timu ya soka ya Atletico Madrid imefanikiwa kufuzu katika hatua ya robo fainal ya ligi ya mabingwa barani Ualaya toka mwaka 1997 baada ya usiku wa jana kuifunga Ac Milan mabao 4-1 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid.
Mabao ya Atletico yalifungwa na Diego Costa aliyefu nga mabao mawili kunako dakika ya 3 na 85, Adra Turan dakika ya 40 na Raul Garcia dakika ya 70. Bao la kufutia machozi la Milan lilifungwa na Kaka dakika ya 27.
Kwa matokeo hayo Ac Milan imetolewa katika michuano hiyo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya
Kaka akishangilia bao lako kunako dakika ya 27 dhidi ya Atletico Madrid
Mario Balotel akiwa hoi baada ya kushuhudia timu yake ikiondolewa katika michuano hiyo ya mabingwa Ulaya
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni