
Madaktari wanaomtibu mkongwe wa mbio za magari za Langa langa Michael Schumacher wamesema hali ya mwanamichezo huyo bado haijabadilika ingawa bado wanahangaika kumrejeshea fahamu.
Bingwa huyo mara saba wa michuano ya mbio hizo yupo kwenye koma tangu Desemba 29, mwaka jana alipopata ajali wakati akicheza mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwenye Mlima Alps nchini Ufaransa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni