Wakazi wa Jiji la Nairobi nchini Kenya wanaotumia usafiri wa umma leo asubuhi wamelazimika kutembea kwa miguu kwenda kazini baada madereva wa mabasi ya abiria maarufu kama matatu kufunga kwa mawe barabara ya Thika kushinikiza kuongezwa kwa bei ya nauli.
Madereva hao na makonda wamefunga barabara hiyo karibu na daraja la Pangani, baada ya kuyatelekeza mabasi yao kwenye mzungu wa Donholm na kulazimisha wakazi wa Jiji la Nairobi kutumia barabara ya Jogoo kwa kutembea kwa miguu kwenda mjini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni