Jumanne, 11 Machi 2014
MAREKANI NA URUSI ZAVUTANA KUHUSU MGOGORO WA UKRAINE
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry amesema hakutakuwepo na mkutano wowote na Rais wa Urusi, Vladmir Putin kuzungumzia mgogoro wa Ukraine, hadi hapo Urusi itakapotekeleza mapendekezo ya Marekani ya kutatua mgogoro ulioikumba nchi hiyo, na Urusi kuondoa majeshi yake yote katika jimbo la Crimea.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni