.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

NI RIDHIWANI, AMBWAGA IMAN MADEGA KURA ZA MAONI CHALINZE



Mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kiwete, Ridhiwani Kikwete ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni za kuwania ubunge katika jimbo la Chalinze mkoani Pwani.

Ridhiwani amepata kura 758 na kuwabwaga wenzake watatu, aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Iman Madega aliyepata kura 335, Ramadhan Maneno ( 206 ) na Changwa Mohammed Mkwazu aliyepata kura 17

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni