.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 10 Machi 2014

TBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI WILAYANI ARUMERU


Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akizungumza na mmoja wa wanakikundi  cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye ameanzisha ufugaji baada  kupata mafunzo kutoka asasi  isiyo ya kiserikali ya Ace Africa iliyopewa fedha kiasi cha dola za Marekani 64,000.
 Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia(TBL)Kanda ya kaskazini,Wilderson Kitio(kulia)akizungumza na maafisa wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa  wakati wa ziara ya kutembelea miradi iliyofadhiliwa na TBL kupitia asasi hiyo mkoani Arusha hivi karibuni
 
Afisa Miradi wa asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa,Baraka Mshana(katikati) akiwapa maelezo ya umuhimu wa matumizi ya majiko banifu kwaajili ya kulinda mazingira,Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia Kanda ya Kaskazini,Wilderson Kitio(kushoto)na  Afisa Uhusiano wa TBL,Doris Malulu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni